UPESI
Jarida la Habari Njema litolewalo bure UPESI ni jarida la Kiswahili ambalo hutolewa bure, linalokuletea Habari Njema kuhusu upendo wa Mungu na jinsi anavyoweza kukusaidia.Jarida hili huchapishwa kila baada ya miezi mitatu. Tunapenda tukutumie nakala za bure ili usome. Tunaweza pia kukutumia nakala nyingi ili uweze kuwagawia na wengine. Tafadhali tuandikie baruapepe
Au tuandikie kwa anwani hii:
UPESIUnaweza kusoma matoleo ya hivi karibuni katika mfumo wa PDF kwenye mtandao: Pia tunatoa jarida hili katika Kiingereza, Kifaransa na Kireno rahisi. Tafadhali tuandikie iwapo ungependa kuyasoma haya pia.
Willington
Derby DE65 6BN
UK