UPESI

Jarida la Habari Njema litolewalo bure UPESI ni jarida la Kiswahili ambalo hutolewa bure, linalokuletea Habari Njema kuhusu upendo wa Mungu na jinsi anavyoweza kukusaidia.

Jarida hili huchapishwa kila baada ya miezi mitatu. Tunapenda tukutumie nakala za bure ili usome. Tunaweza pia kukutumia nakala nyingi ili uweze kuwagawia na wengine. Tafadhali tuandikie baruapepe

Au tuandikie kwa anwani hii:

UPESI
Willington
Derby DE65 6BN
UK
Unaweza kusoma matoleo ya hivi karibuni katika mfumo wa PDF kwenye mtandao: Pia tunatoa jarida hili katika Kiingereza, Kifaransa na Kireno rahisi. Tafadhali tuandikie iwapo ungependa kuyasoma haya pia.

Issue 75 | 78 | 85 | 88 | 90 | 91 | 92 | 93 | 94 | 95 | 96 | 97 | 98 | 99 | 100 | 101 | 102 | 103 | 104 | 105 | 106 | 107 | 108 | 109 | 110 | 111 | 112 | 113 | 114 | 115 | 116 | 117 |
You can also get UPESI in English.
Bookmark and Share UPESI    Contact us   
Page change advice
 SOON Ministries logo
upesi readers

upesi paper

Printed from www.soon.org.uk/fulani © May 2012SOON Educational Publications
Contact us by email: pulaarsoon.org.uk